Taja sehemu ya utotoni usiyoisahau

Taja sehemu ya utotoni usiyoisahau

Mi nakumbuka nilipokua kindergaten....kuna katoto nilikua nakapenda sana darasani..

Bas kila siku baada ya shule naenda kupiga misele kwao .nikaone tuu

Sasa kuna siku tukakutana kwenye chaka moja hiv karib na kwao..basi tukaanza vua mabag ya shule ili tuanze vuana nguo..hapo kimya kimya..

Na huwez amin...that thing was happening naturaly..mim skuwai ona picha za x wala nin.....

Bas bwana kumbe dada angu ambaye yeye alikua primary school...anatoka shule anarud alituona tunaingia kwenye chaka..bas akatoka pale akaenda sema home...

Basi mtaa mzima stori ndo ikawa hiyo...wamefanya mchezo mbayaaa...

Wakat sis baada ya kuvua nguo tukakumbatiana tu gusanisha matumbo.tukavaa nguo tukaondoka...

Dah acha tuu...toka siku hyo nikawa na image ya mtoto mwenye michezo mibaya mtaan
 
Niliweka story ya kikubwa badala ya kitoto nimeifuta.

Dobo kubitika, nani analijua hili game?

Uwanja wa shule ya msingi (jina kapuni) huko Moshi, niko darasa la pili hapo sina hili wala lile wale wakubwa wa darasa la nne wanacheza hilo game.

Mpira ukapigwa ukaja sehemu tulipo mi nikaamua kuupiga kuwarudishia, bahati mbaya nikaukosa then ukanipita dobo na nilikuwa sijui kama wanacheza dobo kubitika so sikujihami kukimbia!

Nilipigwa siku ile aisee! Nilikuwa nakufa! Mpaka waliokuwa madarasani ambao walikuwa hawachezi wakatoka kuja kunipiga!

Mbaya zaidi napigwa halafu pa kwenda kushika sipajui! Nilikula kichapo kama mwizi, watoto kama mia hivi yaan iligeuka sherehe ya kunipiga!

Mwalimu ndiyo aliniokoa, natoka midamu puani, mdomoni uniform imechanwa! Sitosahau kile kichapo, sitosahau lile eneo la shule hata kama siku hizi wamejenga shule ingine kwenye ule uwanja mkubwa sana
Memory nzuri story yako imenikumbusha mchezo fulani unaitwa "KULA MBAKISHIE BABA" watoto wa kishua hawawezi kuujua huu ulikwepo sana shule za kayumba.

Mchezo wenyewe upo hivi mnakusanya kirundo cha mchanga kisha pale katikati mnachomeka kijiti halafu kila mtu anaanza kula (kuvuta mchanga kutoka kwenye kile kirundo) sasa ataeangusha kile kijiti kuna sehemu mnakubaliana pa kwenda kushika aisee kama huna mbio bas jua ezirael anaweza pita na wewe kwa kipigo utachopokea

Huo mchezo wenu sisi tulikua tunauita tobo dunda
 
IMG-20210716-WA0131.jpg
 
Sehemu ya pili nisiyoisahau
Uwanja wa mpira Kibaranga Muheza Tanga
Tuliambiwa kuna wachawi ndio airport yao usiku ...basi baada ya watu kulala sisi tukatoroka majumbani mwetu na kupitiana tukaenda mpaka pale uwanjani tukajibanza kwenye msufi tukiwa na vichupi tu huku tukiwa tumejipaka masizi usoni
Siku ile tuliwaona hata tusiotegemea kuwaona pale wake kwa waume ...wote wakiwa uchi kabisa ..wakati wakijiandaa kuruka na nyungo zao sijui kilitokea nini ila tulistukia tunakula vitasa vya kufa mtu..kila mmoja wetu alienda na njia yake...
[emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom