[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ziraili alikuwa anajaribu kukufanya mteja wake1. Nilikua najiona kwenye maji ya kisima kilicho jengewa, Kisha nikajaribu kumfuata yule niliekua najiona kwenye maji na nikatumbukia. Baada ya kuzama na kuibuka ndipo nikajikuta nimeshikwa mkona na mama wa nyumba ya jirani akanitoa kwenye maji ndipo ikawa pona yangu.
2. Mama alianika unga kwenye mkeka na kisha akaweka mfuko pembeni na akaukandamiza na jiwe ili usiende na upepo. Basi nilikua nafurahia nikiona mfuko unafunguka na kufunga, nikadhani kuna mtoto anacheza mule ndani Kisha nikaenda kuingia nami ili tukacheze. Baada ya kuingia nilihangaika sana kutoka, maana pakuyokea nilikua sipaoni na jua likawaka zaidi, joto kali nikajikuta nakata pumzi, sijui nikitolewa vipi.
Hadi leo napumua shekh....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ziraili alikuwa anajaribu kukufanya mteja wake
Chattle. Nimechunga sana mang'ombe kule. Sitasahau siku niliyorara Mbere baada ya kuutibua mzinga wa nyuki!!Maisha yetu yanatengenezwa na mlolongo wa matukio
Utotoni tunapitia mengi saana...hebu taja sehemu ya utotoni kwa sababu zozote zile huwezi kuisahau kamwe...yani utasahau vyote lakini sio hiyo sehemu iwe kwa uchungu ,iwe kwa furaha, iwe kwa mshangao
Mimi kamwe sisahau msitu ule nilikopelekwa na wazee wa mila na vijana wakubwa kutiwa jando bila ganzi wala bandaje...huwa siisahau ile sehemu wala huwa simsahau yule mzee na kisu chake kidogo kikali sana alichotoa kwenye mfuko wa ngozi wala siwasahau wale vijana walionishikilia mikono na miguu
Je wewe husahau eneo lipi? Unaweza pia kuelezea sababu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ati muwape nini??mb....?[emoji848][emoji30][emoji3]mie sehemu ya utoto nisiyoisahau ni pale tulipokua tukimaliza mchezo wa komborela tulikua tunafanya mchezo wa utani ambao tulikua tukiwatania wasichana kisha wao wanatukimbiza atakaepatwa wanamchapa..
mchezo wenyewe ulikua hivi;
mmoja wetu anaanzisha: wasichana wa mtaaa huuuu...huuu...huuu
mwingine anadakia: tuwape mb******
wa mwisho: tuwasameeee alafu ndukiii....
hapo watatukimbiza wakikupata unakula stick bt mchezo huu haukua mzuri maana ulipelekea mambo ya kuonjana then wazazi walipogundua walitupga marufuku.
Mkuu Mshana, mie sipendi uchokozi![emoji23]hiyo lafudhi umemuiga nani?
mkuu utoto ni zaidi ya ujinga maana kuna matukio ukiyakumbuka na ulivo sasa unabaki kucheka tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ati muwape nini??mb....?[emoji848][emoji30][emoji3]
Maisha yetu yanatengenezwa na mlolongo wa matukio
Utotoni tunapitia mengi saana...hebu taja sehemu ya utotoni kwa sababu zozote zile huwezi kuisahau kamwe...yani utasahau vyote lakini sio hiyo sehemu iwe kwa uchungu ,iwe kwa furaha, iwe kwa mshangao
Mimi kamwe sisahau msitu ule nilikopelekwa na wazee wa mila na vijana wakubwa kutiwa jando bila ganzi wala bandaje...huwa siisahau ile sehemu wala huwa simsahau yule mzee na kisu chake kidogo kikali sana alichotoa kwenye mfuko wa ngozi wala siwasahau wale vijana walionishikilia mikono na miguu
Je wewe husahau eneo lipi? Unaweza pia kuelezea sababu
Mbaya zaidi napigwa halafu pa kwenda kushika sipajui! Nilikula kichapo kama mwizi, watoto kama mia hivi yaan iligeuka sherehe ya kunipiga![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niliweka story ya kikubwa badala ya kitoto nimeifuta.
Dobo kubitika, nani analijua hili game?
Uwanja wa shule ya msingi (jina kapuni) huko Moshi, niko darasa la pili hapo sina hili wala lile wale wakubwa wa darasa la nne wanacheza hilo game.
Mpira ukapigwa ukaja sehemu tulipo mi nikaamua kuupiga kuwarudishia, bahati mbaya nikaukosa then ukanipita dobo na nilikuwa sijui kama wanacheza dobo kubitika so sikujihami kukimbia!
Nilipigwa siku ile aisee! Nilikuwa nakufa! Mpaka waliokuwa madarasani ambao walikuwa hawachezi wakatoka kuja kunipiga!
Mbaya zaidi napigwa halafu pa kwenda kushika sipajui! Nilikula kichapo kama mwizi, watoto kama mia hivi yaan iligeuka sherehe ya kunipiga!
Mwalimu ndiyo aliniokoa, natoka midamu puani, mdomoni uniform imechanwa! Sitosahau kile kichapo, sitosahau lile eneo la shule hata kama siku hizi wamejenga shule ingine kwenye ule uwanja mkubwa sana
mshana ww ni mchawi?Sehemu ya pili nisiyoisahau
Uwanja wa mpira Kibaranga Muheza Tanga
Tuliambiwa kuna wachawi ndio airport yao usiku ...basi baada ya watu kulala sisi tukatoroka majumbani mwetu na kupitiana tukaenda mpaka pale uwanjani tukajibanza kwenye msufi tukiwa na vichupi tu huku tukiwa tumejipaka masizi usoni
Siku ile tuliwaona hata tusiotegemea kuwaona pale wake kwa waume ...wote wakiwa uchi kabisa ..wakati wakijiandaa kuruka na nyungo zao sijui kilitokea nini ila tulistukia tunakula vitasa vya kufa mtu..kila mmoja wetu alienda na njia yake...