Taja sehemu ya utotoni usiyoisahau

Mimi nililia zaidi maana home tulikuwa tumeishaingia contract nikifika zaidi ya SAA 12 jioni lazima nichezee fimbo za kutosha. Sasa fimbo za home kwa mother zilikuwa zinahusisha mateke, kufinywa, vibao, ngumi, ndara, kuita nyota, kubeba mawe, yaani ile package ukiifikiri tu machozi yanazidi.
[emoji3064][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]maza ako alikuwa mjeda?
 
Alikuwa RAIA ila anaukaribu na wajeda.
Kuna hicho alikuwa akinicheki hata kama Niko katikati ya ujinga gani naacha na kukaa sawa maana package yakr ya adhabu ilikuwa nzito hahahaha
 
Alikuwa RAIA ila anaukaribu na wajeda.
Kuna hicho alikuwa akinicheki hata kama Niko katikati ya ujinga gani naacha na kukaa sawa maana package yakr ya adhabu ilikuwa nzito hahahaha
Hahhhahaaaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]........vipi hiyo hobi ya kutembea na viberiti mfukoni bado unayo?
 
Mjomba wako alikuwa mshenzi sana
 
[emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Darasa la saba Ile siku kura zimepigwa alafu mda wa matokea mimi ndiyo naonekana nimekula watoto wa kike karibia shule nzima. Moja ya matukio ambayo siezi sahau mpaka kesho
 
Ilikuwa siku ya jumamosi nzuri
Tuliposafiri na mama
Tukafika mahali pa bonde kubwa
Mahali pasipo na raha
Mpenziii...mpenzi mamaa
Naturudi tumepotea
Na turudi nyumbani kwa baba na ndugu kwenye raha na maisha memaaa...

[emoji1540][emoji1540][emoji1540][emoji1540]huo wimbo daima humkumbuka mama yangu mpenzi aliyelala kwa amani..RIP MOM[emoji25][emoji25][emoji25]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nakumbuka wakati nikiwa mdogo, kila christ mass na mwaka mpya tunakua tupo kijijini kwetu, tukishamaliza kufanya kilichotupeleka tunaondoka, kuna jambo lilikua linanishangaza sana, wakati tunaondoka inakua ni saa kumi alfajiri kuna sehemu ni kama kibonde hivi alafu kuna mto unapita, lakini nilikua nashangaa miti iliyokuwepo hayo maeneo ilikua inazunguka basi nilikua naangalia tu napotezea mana nilikua nabebwa, hili jambo halijawahi toka akilini mwangu mpaka leo.
 
Masaki pale kwa balozi
 
Mmh inazungukaje
 
Siku zile ambazo Mama alipika wali wa nazi na mchuzi wa kuku wa kienyeji, wali wa nazi na maharage au chapati na mchuzi wa kuku wa kienyeji πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹ siku hizo sa 12 tu nimesharudi nyumbani nimeshaoga bila kuchelewa nasubiri sahani yangu ya maakuli kwa hamu kuu. πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹ Utoto raha sana.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…