Taja sekta ama nyanja ambazo taifa la Tanzania limefanikiwa sana

Taja sekta ama nyanja ambazo taifa la Tanzania limefanikiwa sana

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Mijadala mingi humu JF ni ya kulalamikia juhudi, mipango na mikakati ya kitaifa inayofanywa na serikali.

Watanzania muda wote tunajiona tuko ktk taifa la hovyo na lisilo na jambo jema lolote. Nachotaka kusema hakuna jambo jema ktk sekta yoyote linaloongelewa na watanzania kuhusu taifa lao.

Je, hili suala linafanyika kwa bahati mbaya ama ni kweli hakuna jambo jema hata moja?

Ili kuyabaini mema yaliyopo nchini hebu sasa tusaidiane kutaja jambo/ mambo ambayo tunaona kitaifa yamefanikiwa sana na ni ya kupigiwa mfano duniani.

Mimi nimeumiza kichwa sana sijafanikiwa kuliona.

Karibuni kwa maoni.
 
Back
Top Bottom