Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Season 24Kufuatia kumalizika kwa Msimu wa 8 wa Game Of Thrones ambayo kimsingi imefikia ukingoni, leo tutaje Series 3 bora ambazo umewahi kutazama.
Mimi naanza na hizi
1. Breaking bad
2. Game of Thrones
3. 24
Mkuu tenga muda itafute uitazame, utainjoi sana, bonge moja la series.hivi nipo peke yangu au tupo wengi ambao hatujaangalia hata kipande kimoja cha game of thrones ?
Na mimi sijawahi iona, naisikia tu kwa wadau na mediahivi nipo peke yangu au tupo wengi ambao hatujaangalia hata kipande kimoja cha game of thrones ?
1-Lord of the skies
2-A woman of steel
3-Fearless Hearts
hivi nipo peke yangu au tupo wengi ambao hatujaangalia hata kipande kimoja cha game of thrones ?
Hahahaha kina kate,sawyer, Benjamin,john n.k aisee lile dude linahitaji umakini sana kulitizamaDunia yote inajua pindi nikisema"
1.LOST
Nafikili ni hiyo tu
bonge la drama mzeeHahahaha kina kate,sawyer, Benjamin,john n.k aisee lile dude linahitaji umakini sana kulitizama
Napenda ile misemo yaobonge la drama mzee