Alexprosper
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 3,286
- 6,110
Game of thrones and viking
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kati ya PB n Breaking bad ipi ni 🔥
Game of thrones and viking
Viking hatariGame of throne nilielewa. Napenda series za mapigano na uchawi ila breaking bad, money heist, lost, Alice in borderland na Viking sijazielewa kabisa. Bora hata Kung Fu kidogo
Mm naenda na Breaking badKama ni mtu wa ngumi. Prison break inakufaa kama unapenda story angalia Breaking Bad.
Mm naenda na Breaking bad
Kweli kabsa mkuu ila vp ww una download kupitia link gan mkuuKizuri kipo machoni mwa mtu. Kwangu ilinishinda hata money heist ina utoto mwingi sana.
1. TehranKufuatia kumalizika kwa Msimu wa 8 wa Game Of Thrones ambayo kimsingi imefikia ukingoni, leo tutaje Series 3 bora ambazo umewahi kutazama.
Mimi naanza na hizi
1. Breaking bad
2. Game of Thrones
3. 24
Inaelekeaga na Atlants japo yenyewe jamaa alikua anatafuta baba ake aakazama baharini akatokea kwenye dunia ya kaleKuna series niliwahi kuiona kitambo kidogo japo jina lake limenitoka na nimeitafuta sana bila mafanikio labda ningependa kueleza matukio ninayoyakumbuka pengine mnaweza mkaitambua.
.
.
.
kuna jamaa mmoja ndani ya jiji moja ivi (japo nimeusahau) ila ulionekana ni mji wa kisasa kutokana na uwepo wa magari na miundombinu nk. Niliona alikuwa ametumbukia katika chemchem iliyojengewa mtindo wa kisasa ivi. Sasa alivyozama ndani ya maji ya kwenye hio chemchem alikuja kuibuka kwenye bahari kwa bahati nzuri alikuwa karibu na kisiwa akapokelewa na wavuvi ila cha ajabu sasa mavazi ya wavuvi na watu aliokutana nao kwenye hiko kisiwa ni waajabu kidogo kwake . Walionekana kuvalia kizamani sana . Nakumbuka alikutana na pythagoras master of triangle aliegundua pythagoras theory .
aisee hii series naitafuta sana kwa yeyote mwenye kuitambua naomba aiwasilishe hapa jf.
Na sina mpango wa kuja kuiangalia..hivi nipo peke yangu au tupo wengi ambao hatujaangalia hata kipande kimoja cha game of thrones ?
Bonge la movie....inaitwa Atlantis.... seasons3...haijatoka Hadi LeoKuna series niliwahi kuiona kitambo kidogo japo jina lake limenitoka na nimeitafuta sana bila mafanikio labda ningependa kueleza matukio ninayoyakumbuka pengine mnaweza mkaitambua.