Taja Series 3 Bora Ulizowahi Kutazama

Anatia hasira sana na hayo macho yake, ngoja nitafute tena niirudie haijawahi kunichosha
 
1. The Storm
2. Storm in Paradise
3. My Heart Beats for Lola Volcan
4. Daniela
5. Face of Destiny
6. Where is ELISA
7. Second Chnce
8. Part of ME
 
Anatia hasira sana na hayo macho yake, ngoja nitafute tena niirudie haijawahi kunichosha
Ninayo nimeirudia twice
Karibu tuangalie wote nikuelezee hapo mwishoni palipo kuchanganya [emoji12]
Uje na notebook kabisa[emoji23]
 
Yupo sawa sana na ana kiingereza kizuri mno
 
Legend of the seeker
City Hunter....ziko nyingi 3 pekee hazitoshi asee

Hivi nani aliangalia arijun ek odha jamanii😂???
 
Anatia hasira sana na hayo macho yake, ngoja nitafute tena niirudie haijawahi kunichosha
Umeangalia person of interest

Ila wenzetu wanajua sana kuigiza na huyu kitaaluma ni muigizaji kabisa ana masters ya fine art na degree ya film and theatre

Ana majibu huyu jamaa halafu akielezea profile ya mtu mpaka utapenda

Unakumbuka alivyokua ana mwelezea yule commander aliyekuja kumkamata mpaka alex mwanae akapigwa risasi
 
Ni manipulator wa hali ya juu sana ukimpa nafasi ya kuongea lazima uingie kingi ndio maana John locke alisema wamfunge mdomo maana ndio silaha yake kubwa
 
Ni manipulator wa hali ya juu sana ukimpa nafasi ya kuongea lazima uingie kingi ndio maana John locke alisema wamfunge mdomo maana ndio silaha yake kubwa
Napenda sana character wa namna hii... Wanaitwa watu wenye silver tongue
kama Raymond Redington kwenye Blacklist
Hata kwenye maisha ya uhalisia wapo sana hawa watu
 
1. 24
2. Money heist
3. Condor
3. Jack Ryan
3. McMafia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…