Taja Series 3 Bora Ulizowahi Kutazama

Haikuja tokea Series tamu kama
1. Marimar
2. It might be you
3. The long wait
4. The promise
4. Lamujer de Lorenzo
5. Lamujer demivida
The long wait ndio series ambayo hadi mzee wangu alikuaanaicheki
 
Napenda ile misemo yao

"They coming"

"Who is coming"?

"Others"

Who is others?
miaka mi3 iliyopita Mr. Ecko alitua zanzibar, tukiwa pale airport ya zanzibar, kila 1 akaanza mshangaa mpaka hao watu wa uhamiaji na askari ndani ya airport waliomba kupiga nae picha, jamaa ni massive na giant ile mbaya
 
naona mumesahau The Travellers na The Killing point hizi nazo ni moto mkali
 
Prison break wamecopy series 1 inaitwa OZ
 
Dar Adal
Saul
Abu Nazzar
Issa
Nick Brody
Hakuna series bora kama hii
Dah, umenikumbusha sana mule ndani yaliyojiri.

Abu Nazzir aliwasumbua sana CIA.

Nick Brody alikuwa double agent huyu na Carrie Mathison ndiye aliyejua ukweli na kushuhudia kifo chake akiwa ananyongwa uarabuni live.
 
hii kitu hatari sana kuna matukio ya kuogofya sana kule Iraq Carry alikuwa anacheza kama Pele afu kuna jamaa alikuwa geniuos sana kamsave sana Carry nimesahau jina lake
 
Niliumia sana yule jamaa kunyongwa. Ilinichukua muda sana kuja kuendeleza kuangalia season 4
 
hii kitu hatari sana kuna matukio ya kuogofya sana kule Iraq Carry alikuwa anacheza kama Pele afu kuna jamaa alikuwa geniuos sana kamsave sana Carry nimesahau jina lake
Dada jasusi mahiri sana, uwezo wake wa kufanya comaflauge na kudeal na arabs ulipelekea kuwa permanent asset kwenye CIA.

Yule jamaa anitwa Peter Quinn. Alimsave sana Carrie japo alikufa kwa kujitolea maisha yake ili Carrie na rais wasiuliwe.

Kama sio huyo basi ni yule babu Soul Berenson , kama myahudi fulani hivi, alikuwa kwenye mission nyingi za uarabuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…