Taja Series 3 Bora Ulizowahi Kutazama

Hii mimi nimeirudia, japo imeishia kati lakini nimeirudia mara kadhaa

Series nyingine iliyoishia kati lakini kali sana ni 24 Legacy
Asee umegusa mulemule..
Series kali mpk mtu hutamani iishe
 
Mimi nina series mbili kwenye computer sijawahi kufikiri kuzifuta. Game of Thrones na Suits. I wished Mike and Rachel and Jessica never left the suit crew. They made it to be like a family which you wish you are a member.
Jessica ndo aliniuma sana yani, Rachel nilivyoona tu kuwa kachumbiwa na mjukuu wa malkia Elizabeth nikajua tu huyu hataigiza tena maana status ni *royal family* Ila nina imani bwana Mike atarudi kwenye season za mbele.

Note.
Kwa wadada wanaopenda kuvaa SUITS ina wadada wanatupia hatari sana design za nguo zao ni balaa.
 
Mkuu hapo kwenye Manging Sino Kaman hahahaha nilikuwa sikamatiki, RUSELA the fish vendor hahahaha
 
Golden house

Hii haitakuja kutokea tena mpaka mwisho wa dunia
 
1. Into the Badland
2. Prison Break
3. The ship
Hizo no mwisho...
 
tupeni na series za comedy wadau watu tuvunje mbavu,, kama ile worst week ni balaa
 
Game of thrones
Breaking bad
24hrs
Vikings
Prison break
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…