Taja sheria moja ya gari ya polisi aina ya Defender

Kiti cha mbele haruhusiwi kukaa raia.
Muda wote speed 120
 
Halizingatii sheria yoyote ya usalama barabarani!!! Hata kama kuna barabara mbili, lenyewe linapita mnakokwenda ndiko linako tokea, na ole wako, uchelewe kuwapisha!! Wewe ndio unaonekana umekosea!!!
 
Halina rafiki hata uwe mwema likitokea huko speed likisimama mbele yako lazima utajisachi kimoyomoyo isije ikawa ulisahau kulipa mgahawani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…