Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbwa wa police kakata mnyororo kaingia uwanjani breki ya kwanza kwa boban...sijui alisikia harufu gani.Unajuu au uliwahi kusikia nini kuhusu fundi Haruna Moshi Shaban “Boban”
TuambieView attachment 3120130
Alimiss cha arusha ndo mana alirudi Bongo nyosoHuyu angekuwa mtu wa kwanza Kufanikiwa Na kutoboa Huko Ulaya basi angekuwa Boban. Alifika 2010-11 Sweden katika klabu Ya Gefle IF iliyokuwa Ligikuu wakati Huo, Moja Ya klabu Kubwa Nchini Humo, wazungu walimpa Kila kitu alichohitaji.
Kutokana na Kipaji Chake Ikafika Stage wazungu wale wakawa wapo Tayari Kumpa Unahodha katika Klabu Hiyo, Wao walimuona mbali Zaidi Ya Alivojiona na kuwaza, Lakini Bado Boban alichagua kurudi Nyumbani kwa sababu zake mwenyewe,stori Yake Huwa inanifikirisha sana.
Boban alichagua kuimbwa kwenye majukwaaa Ya Mkapa stadium, Kirumba ,Sokoine na mkwakwani na sio Ulaya Tena, Boban alikosa Watu sahihi Kwenye Maisha Yake
Nikimuonaga alivyochoka Sinza na jinsi alivyozingua Sweden kipindi kile hakika naamini Bahati huwa haiji mara mbiliUnajuu au uliwahi kusikia nini kuhusu fundi Haruna Moshi Shaban “Boban”
TuambieView attachment 3120130
Huyu angekuwa mtu wa kwanza Kufanikiwa Na kutoboa Huko Ulaya basi angekuwa Boban. Alifika 2010-11 Sweden katika klabu Ya Gefle IF iliyokuwa Ligikuu wakati Huo, Moja Ya klabu Kubwa Nchini Humo, wazungu walimpa Kila kitu alichohitaji.
Kutokana na Kipaji Chake Ikafika Stage wazungu wale wakawa wapo Tayari Kumpa Unahodha katika Klabu Hiyo, Wao walimuona mbali Zaidi Ya Alivojiona na kuwaza, Lakini Bado Boban alichagua kurudi Nyumbani kwa sababu zake mwenyewe,stori Yake Huwa inanifikirisha sana.
Boban alichagua kuimbwa kwenye majukwaaa Ya Mkapa stadium, Kirumba ,Sokoine na mkwakwani na sio Ulaya Tena, Boban alikosa Watu sahihi Kwenye Maisha Yake
CCM Kirumba hiyo Simba Vs TotoMbwa wa police kakata mnyororo kaingia uwanjani breki ya kwanza kwa boban...sijui alisikia harufu gani.
Huyu MWAMBA ni wa CHABUTWA SIKONGE TABORA?Alikuwa anavuta bangi ya Ndevelwa na Chabutwa.