Taja sifa moja unayoijua kuhusu Haruna Moshi Boban Mawela

Taja sifa moja unayoijua kuhusu Haruna Moshi Boban Mawela

Huyu angekuwa mtu wa kwanza Kufanikiwa Na kutoboa Huko Ulaya basi angekuwa Boban. Alifika 2010-11 Sweden katika klabu Ya Gefle IF iliyokuwa Ligikuu wakati Huo, Moja Ya klabu Kubwa Nchini Humo, wazungu walimpa Kila kitu alichohitaji.

Kutokana na Kipaji Chake Ikafika Stage wazungu wale wakawa wapo Tayari Kumpa Unahodha katika Klabu Hiyo, Wao walimuona mbali Zaidi Ya Alivojiona na kuwaza, Lakini Bado Boban alichagua kurudi Nyumbani kwa sababu zake mwenyewe,stori Yake Huwa inanifikirisha sana.

Boban alichagua kuimbwa kwenye majukwaaa Ya Mkapa stadium, Kirumba ,Sokoine na mkwakwani na sio Ulaya Tena, Boban alikosa Watu sahihi Kwenye Maisha Yake
Boban mwenyewe alijua umri umeenda hawezi fanya lolote,bangi ikawa tabu huko sweden,akaanza kuwalamba buti mazoezini na kuwatemea mate Ili wamuache
Mtu wa kwanza kutoboa angekua ngasa na lovham ya norway nadhani,ile ilikua kabla ya boban
 
Back
Top Bottom