Taja sifa moja unayoijua kuhusu Haruna Moshi Boban Mawela

Huyu angekuwa mtu wa kwanza Kufanikiwa Na kutoboa Huko Ulaya basi angekuwa Boban. Alifika 2010-11 Sweden katika klabu Ya Gefle IF iliyokuwa Ligikuu wakati Huo, Moja Ya klabu Kubwa Nchini Humo, wazungu walimpa Kila kitu alichohitaji.

Kutokana na Kipaji Chake Ikafika Stage wazungu wale wakawa wapo Tayari Kumpa Unahodha katika Klabu Hiyo, Wao walimuona mbali Zaidi Ya Alivojiona na kuwaza, Lakini Bado Boban alichagua kurudi Nyumbani kwa sababu zake mwenyewe,stori Yake Huwa inanifikirisha sana.

Boban alichagua kuimbwa kwenye majukwaaa Ya Mkapa stadium, Kirumba ,Sokoine na mkwakwani na sio Ulaya Tena, Boban alikosa Watu sahihi Kwenye Maisha Yake
 
Alimiss cha arusha ndo mana alirudi Bongo nyoso
 
Chini ya wakala Damas Ndumbaro ambaye kwasasa ni Waziri wa Michezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…