Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Hhhhaaaaa,,sijawah kuona comment yake nzuri hata mojaaaAlafu simpendi huyo the list kinyamaa namlia time tu ipo siku yake nitampa makonzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hhhhaaaaa,,sijawah kuona comment yake nzuri hata mojaaaAlafu simpendi huyo the list kinyamaa namlia time tu ipo siku yake nitampa makonzi
NiambieMshipa
Sasa hiv hapa kitawakaa hhhaaa mi napenda ubuyu[emoji3][emoji3][emoji3]Kazi gani hyo?
Hata Ungo Ni UsafiriUsafiri gan mkuu gari au pikipiki
Aiseeh karibu sanaHahaahahhahaha nakulia Mingo sooon nitaachia [emoji378]
Si hua mnaandika humu,,Hizo taarifa umezitoa wapi?
[emoji1] [emoji1] Mbona uzi unaenda vizuri tu huuSasa hiv hapa kitawakaa hhhaaa mi napenda ubuyu
Ah ah ah Very GoodNinaandaa Uzi wa wanawake wa jf wasiooga !! Be care!!
Kwahyo wanaume wote wa jf waliandika hivyo?Si hua mnaandika humu,,
Wengi wenuKwahyo wanaume wote wa jf waliandika hivyo?
Hapo sawa, sio wote maana mimi sikumbuki kuwa nilishawahi sema hvyoWengi wenu
Wenzako sasa haaa mafundiiHapo sawa, sio wote maana mimi sikumbuki kuwa nilishawahi sema hvyo
Mtu hawezi jiita fundi kama sio fundi inabidi ujaribu ili ujihakikishie mwenyeweWenzako sasa haaa mafundii
Aiiyaaa wewe na sie tutaletaa letenii uzi
Kukumanga tu ushaona uwaridi weyee
wote wana big pipe
Mwenye kipisi mmoja tu Castr
Mwenyewe alisemahahahahh eti kipisi nimekutema kabisa
Hahaha,,nipojee banaDina acha fujo
yaani leo umenishangaza kumbe uko hivi nimekuogopa bure!