Taja tabia yako ujue nani ana tabia kama yako

Taja tabia yako ujue nani ana tabia kama yako

nina gubu sana!ugomvi wangu huwa hauishi kirahisi hata mwaka ninaweza kuwa ninakutafutia timing!
 
Nimwfurah sana leo ... Kumbe argentina ilitwaa world cup ... Wow am so happy today

a e i o u
 
mpenda mafanikio yngu binafsi na ya watu wengne __gonga like kama na ww upo iv

ben.big.boss
 
Back
Top Bottom