Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Usijali...Nishakosa mume Saint anne umri unanikoseha Mume [emoji23][emoji23][emoji23]
πππNakuambia ukweli.
Mimi sio mwenzio[emoji23][emoji23][emoji23]..
Nasubiri shkamoo yangu
Wakati sio ukuta ππUsijali...
Nitakutafutia mume mzuri asiyetaka old cargo..
Wewe bado upo una muda Sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Nisiwaaambie ukweli kwamba ninayo 24yrs ehπUsiwaambie
πππNakubaliana na wewe ππππ
Nafurahi unajua hiloWakati sio ukuta [emoji23][emoji23]
Usiwaambie yeahNisiwaaambie ukweli kwamba ninayo 24yrs ehπ
Nimebakiza miaka ishirini tu na ushee nistaafu mimi.33 π€£πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Marahabaaaa mdogo wangu[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji87][emoji87][emoji87]shikamoo dada
Kumbe ndio maana unapost mambo ya kitoto
Mshana kumbe wewe dogo niljua umri wakina magu
Nani dogo sasa Beberu?, hiyo miaka nimeedit hiyo as you know humu is all about fake things,fake ID's etc[emoji1] [emoji1] am above 45 yrs ujue, sijambo lakini mambo mwituni![emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]Dogo hujambo!?
Hakuna jukwaa la wakubwa babu! [emoji85][emoji85][emoji85][emoji119][emoji119]Jukwaa la wakubwa sikuoni. Kweli unazeeka vizuri
Mmhh
*uhamini = Huamini.Between 28-30 wewe sii upo between hapo...
Nimekuzidi kidogo... kama uhamini? Unahisi naweza kua na miaka mingapi?
Cc: mahondaw
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eish where my old cargos at??