Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Usijali...Nishakosa mume Saint anne umri unanikoseha Mume [emoji23][emoji23][emoji23]
Nitakutafutia mume mzuri asiyetaka old cargo..
Wewe bado upo una muda Sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijali...Nishakosa mume Saint anne umri unanikoseha Mume [emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂Nakuambia ukweli.
Mimi sio mwenzio[emoji23][emoji23][emoji23]..
Nasubiri shkamoo yangu
Wakati sio ukuta 😂😂Usijali...
Nitakutafutia mume mzuri asiyetaka old cargo..
Wewe bado upo una muda Sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Nisiwaaambie ukweli kwamba ninayo 24yrs eh😂Usiwaambie
😂😂😂Nakubaliana na wewe 😄😄😄😄
Nafurahi unajua hiloWakati sio ukuta [emoji23][emoji23]
Usiwaambie yeahNisiwaaambie ukweli kwamba ninayo 24yrs eh😂
Nimebakiza miaka ishirini tu na ushee nistaafu mimi.33 🤣🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Marahabaaaa mdogo wangu[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji87][emoji87][emoji87]shikamoo dada
Kumbe ndio maana unapost mambo ya kitoto
Mshana kumbe wewe dogo niljua umri wakina magu
Nani dogo sasa Beberu?, hiyo miaka nimeedit hiyo as you know humu is all about fake things,fake ID's etc[emoji1] [emoji1] am above 45 yrs ujue, sijambo lakini mambo mwituni![emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]Dogo hujambo!?
Hakuna jukwaa la wakubwa babu! [emoji85][emoji85][emoji85][emoji119][emoji119]Jukwaa la wakubwa sikuoni. Kweli unazeeka vizuri
Mmhh
*uhamini = Huamini.Between 28-30 wewe sii upo between hapo...
Nimekuzidi kidogo... kama uhamini? Unahisi naweza kua na miaka mingapi?
Cc: mahondaw
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eish where my old cargos at??