34Usiongope na wala usiogope Taja Umri wako Sahihi hapa,
Kwangu 25 yrs old.
Cc Zero IQ
Baomba shkamo yangu mshana nina 40
Shikamo... Lakini kumbuka umri sio miaka...!!!Baomba shkamo yangu mshana nina 40
How..?Shikamo... Lakini kumbuka umri sio miaka...!!!
Later... Pls wait..How..?
Then above 25Below 30
Mshana kumbe wewe dogo niljua umri wakina magu
Umeanza ulonzi mapema sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama Marehemu Kanali Gaddafi alivyopindua nchi na kushika madaraka akiwa na umri wa 27
22Usiongope na wala usiogope Taja Umri wako Sahihi hapa,
Kwangu 25 yrs old.
Cc Zero IQ