Mwanzoni mwa 2020 ndio nitafika hiyo πNgoja nikutajie una miaka 23 ukibisha nahama JF
Wewe ni wa 1981??
42Usiongope na wala usiogope Taja Umri wako Sahihi hapa,
Kwangu 25 yrs old.
Cc Zero IQ
Wewe ni wa 1997??Mwanzoni mwa 2020 ndio nitafika hiyo [emoji125]
Usiseme kwa nguvu jamani πWewe ni wa 1997??
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]oops sawa mdogo wangu ila hawajasikiaUsiseme kwa nguvu jamani [emoji144]
Nahisi hawajasikia dada[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]oops sawa mdogo wangu ila hawajasikia
Tumeskia dogoNahisi hawajasikia dada
ππππππ hamjasikia wengi lakiniTumeskia dogo
Una miaka 7 kasoro siku 6
HakikaSawia! Hapa JF tunajuana kwa ID.
JF ibakie kuwa JF na mambo mengine yaendelee kama yalivyo kwa sauti ya chini chini..
Ukijumlisha miaka yenu half ugawe kwa mbili kisha utoe tano ndio umri wangu huo.