Kweli bwana sisi wahenga ujueWee Shunie wewe, acheni kuji forward[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe ndio maana ya hiyo 83.36 this October
Yaani!!!! ππDada kama huku kwetu mabondeni
Halafu anakufuata PM, Kumbe hajui kuwa anataka kuona alipotoka.Sanaaa utajikuta unachart na mtoto wako
πππUnamaanisha huko kwenu ushuani inanyesha pia Shadeeya?
[emoji2817][emoji2817][emoji2817]Natamani mno kuifikia 18yrs ndio ivo mpaka june mwaka kesho..
Inamaana mmekula chumvi nyingi?π€£π€£π€£Kweli bwana sisi wahenga ujue
Nitaandamana na mabango hadi kwa Mkuu wa mkoa kupinga hicho unachokaziaπ€£N A K A Z I A ππ
Eti kujiforward. LOLWee Shunie wewe, acheni kuji forwardπ€£π€£π€£
Asante dada na kwako piaYaani!!!! ππ
Haya Dada asubuhi njema. [emoji8][emoji8]
Umeona eenh ReneHalafu anakufuata PM, Kumbe hajui kuwa anataka kuona alipotoka.
[emoji1787][emoji1787]N A K A Z I A ππ
SanaaaaaaaInamaana mmekula chumvi nyingi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mbona kabibiEti kujiforward. LOL
Umesahau siku ile ulipobaki na bumbuwazi mana ulishtuka mpaka mikono usiamini nilivyo Kabibi. ππ
π π π π[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mbona kabibi
Hahahaaa. Zamu yako sasa Ses kutuambia ndio una ishnangapi eti? π€ͺ ππNitaandamana na mabango hadi kwa Mkuu wa mkoa kupinga hicho unachokaziaπ€£
Yaani hawa watoto wa kisasa hawana aibu,Utaona kitoto kinakusarandia Mzee mzima bila aibu, Mzee wa miaka mingi unawezaje kuvua kwa kabinti kako? Au kwa kakijana kako!Umeona eenh Rene