Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wallah gauni lako la red huniacha hoi siku zote Shadeeya, sijui shetani gani alikudanganya ukajikuta wapenda njano
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sanaaaaaaa
China sitaki mimi, mambo ya chura moja kubwa nyingine ndogo ,hamna uwiano hapana[emoji1] [emoji1]Tutaenda China![emoji1][emoji1][emoji1]
Ya kwangu wee si unaijua bana Shaseeya🤣🤣🤣🤣, kama 21 hi sijuiHahahaaa. Zamu yako sasa Ses kutuambia ndio una ishnangapi eti? 🤪 💃💃
Kabisa afu vinapenda kutongoza sanaSanaaa utajikuta unachart na mtoto wako
Si mchezo na ID zao kubwakubwa na maarufu unaweza ukadhani ni watu fulani km akina kangi lugola kumbe vitoto tuHahahaha, umeona eeh
HahahaaahaaaYaani hawa watoto wa kisasa hawana aibu,Utaona kitoto kinakusarandia Mzee mzima bila aibu, Mzee wa miaka mingi unawezaje kuvua kwa kabinti kako? Au kwa kakijana kako!
Hahahaaaa. Naijua ila nilitaka kukuchemsha kidogo. Hiyo hiyo na kwa kidhungu tunaiitaga twentiwani.🤣🤣Ya kwangu wee si unaijua bana Shaseeya🤣🤣🤣🤣, kama 21 hi sijui
Ila ni Bora kwa binti kumvulia mzee kuliko mama kumvulia kijana wake.Yaani hawa watoto wa kisasa hawana aibu,Utaona kitoto kinakusarandia Mzee mzima bila aibu, Mzee wa miaka mingi unawezaje kuvua kwa kabinti kako? Au kwa kakijana kako!
nimeipenda miaka yako
Dah! Noma sana,Tatizo nawaona kama wale mabinti zangu nyumbani, nawaza si nitakuwa kama namvulia mwanangu fulani! hasira inapanda.Ila ni Bora kwa binti kumvulia mzee kuliko mama kumvulia kijana wake.
Hiyo haina tabu ilimradi mnara unasoma tu[emoji23][emoji23][emoji23]Dah! Noma sana,Tatizo nawaona kama wale mabinti zangu nyumbani, nawaza si nitakuwa kama namvulia mwanangu fulani! hasira inapanda.
Jukwaa la wakubwa sikuoni. Kweli unazeeka vizuriNipo mzima dada akee vipi upande wako
Love [emoji2817][emoji2817][emoji2817][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]