Taja Umri wako sahihi

Yaani hawa watoto wa kisasa hawana aibu,Utaona kitoto kinakusarandia Mzee mzima bila aibu, Mzee wa miaka mingi unawezaje kuvua kwa kabinti kako? Au kwa kakijana kako!
Hahahaaahaaa
 
Dah! Noma sana,Tatizo nawaona kama wale mabinti zangu nyumbani, nawaza si nitakuwa kama namvulia mwanangu fulani! hasira inapanda.
Hiyo haina tabu ilimradi mnara unasoma tu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…