Shuku_ Senior Member Joined Sep 26, 2019 Posts 174 Reaction score 216 Mar 30, 2020 #1 Tuziondoe stress za kuwa tutakufa kwa Corona kwa kutaja uwongo mkubwa tuliodanganywa kpind hicho. Mi mzazi wang aliwahi niambia kuwa watoto wanauzwa hospitalini baada ya yeye kuondoka na kurudi na mtoto πππ. Attachments FB_IMG_15758864787794442.jpg 19.1 KB · Views: 1
Tuziondoe stress za kuwa tutakufa kwa Corona kwa kutaja uwongo mkubwa tuliodanganywa kpind hicho. Mi mzazi wang aliwahi niambia kuwa watoto wanauzwa hospitalini baada ya yeye kuondoka na kurudi na mtoto πππ.
The Transporter JF-Expert Member Joined Aug 26, 2016 Posts 3,580 Reaction score 7,203 Mar 30, 2020 #2 Eti ccm ndio baba ccm ndio mama
Mla Bata JF-Expert Member Joined Jan 24, 2013 Posts 7,841 Reaction score 17,491 Mar 30, 2020 #3 "Eti pombe ni mbaya alafu ni chungu" ,kila nikiwa zangu Bar nakumbuka huo uwongo nabaki nachekaa tu huku namwita waiter aongeze nyingine.
"Eti pombe ni mbaya alafu ni chungu" ,kila nikiwa zangu Bar nakumbuka huo uwongo nabaki nachekaa tu huku namwita waiter aongeze nyingine.