Taja uwongo uliowahi kudanganywa enzi udogo wako

Taja uwongo uliowahi kudanganywa enzi udogo wako

Shuku_

Senior Member
Joined
Sep 26, 2019
Posts
174
Reaction score
216
Tuziondoe stress za kuwa tutakufa kwa Corona kwa kutaja uwongo mkubwa tuliodanganywa kpind hicho.

Mi mzazi wang aliwahi niambia kuwa watoto wanauzwa hospitalini baada ya yeye kuondoka na kurudi na mtoto 😂😂😂.
 

Attachments

  • FB_IMG_15758864787794442.jpg
    FB_IMG_15758864787794442.jpg
    19.1 KB · Views: 1
"Eti pombe ni mbaya alafu ni chungu" ,kila nikiwa zangu Bar nakumbuka huo uwongo nabaki nachekaa tu huku namwita waiter aongeze nyingine.
 
Back
Top Bottom