Taja vitu ambavyo havijawahi kumwacha mtu salama katika mapenzi

Akili ndogo hazijawahi na hazitowahi kuiacha nchi salama.
 
genye haijawahi muacha mtu salama hata padriii
 
Nyetolizing haijawahi kumuacha mtu bila majuto ya why nimenyetuka..
 
Kuzama chumvini haijawahi kumwacha mtu salama, hata kwa baadae[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Unajua kuna jinsi ya kula koni na kula ndizi? Wengi huchanganya hapo! Hivyo huwezi baki salama
 
Back
Top Bottom