Taja vitu duniani ambavyo ni uongo

Taja vitu duniani ambavyo ni uongo

Namba nne na namba 3 hebu fafanua kwa tuo
Mafuta wanayosema wanachimba huwa hayatokani na mizoga kama ulivyofundishwa darasani bali huwa chini ya mkondo wa maji na kuhusu biblia kuna maandiko mengi yamebadilshwa ukitaka kujua tafuta biblia ya greece ambayo ni kigiriki tupu ya kabla ya huo mwaka halafu anza kutafsiri kwa translator utanishukuru baadaye
 
Hii knowledge nzito sana, naipata wapi? Inaonekana ni Historia ndefu sana. Kuna vitu navijua na vingine sivijui. Ila Vatkan (Romans) nyoko sana
utanitafuta inbox mkuu dunia ipo upside down sio jinsi watu wanavyoichukulia
 
Samahani niko nje ya mada kidogo wewe ni mtaalam wa mahesabu pia
 
Nani kakumbia Jua limesimama.

Mimi nimesoma darasani, jua linajizungusha.
 
Wakoloni waliturudisha nyuma kimaendeleo ---- false ----if you know you know
 
Mafuta wanayosema wanachimba huwa hayatokani na mizoga kama ulivyofundishwa darasani bali huwa chini ya mkondo wa maji na kuhusu biblia kuna maandiko mengi yamebadilshwa ukitaka kujua tafuta biblia ya greece ambayo ni kigiriki tupu ya kabla ya huo mwaka halafu anza kutafsiri kwa translator utanishukuru baadaye
Darasani wanasema ni mizoga ndio inazalisha mafuta? Tuachane na hayo. Kwani mafuta yanazalishwa na nini
 
Mapapai, MBUZI na maembe vyote vina corona.

Au nasema uongo ndugu zangu????
 
Wanasema hoja hupingwa kwa hoja na tafiti hupingwa kwa tafiti mtoa mada njoo na ushahidi wenye hoja na tafiti zinazojitosheleza ili kupinga hayo
 
Back
Top Bottom