Taja vitu muhimu vya kuanza maisha ya gheto

Taja vitu muhimu vya kuanza maisha ya gheto

Cha muhimu ni geto tuu.
Kulala hata chini usingizi unakuja,
Kuoga sio muhimu maana ndo unaanza maisha unaoga ili ugundue nini?
Kula ni mara moja tuu tena mchana mgahawani.
 
Back
Top Bottom