DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Boga nimeshalipenda, maua hayatanisumbua[emoji23] [emoji23] [emoji23] utakuwa ushazeeka, na mie sitoweza kuvumilia miaka 30 bila kupata utamuuu huoni km utakuta nishawahiwa tunda lako linamegwa na wengine
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hahahhahahahahah
Jesus is my saviour and a friend
Kwahiyo hivyo, kwanza ukikaa gerezani miaka 30 ukitoka na huo ugwadu sidhani km utajali km imetumika na mwingine au lahBoga nimeshalipenda, maua hayatanisumbua
Kwa wakila tunda litapungua ladha au sukari ?
Sent from my Exclusive Y30-U00 using JamiiForums mobile app
Mfanyo wake utakuwa sio wa dunia hii.Kwahiyo hivyo, kwanza ukikaa gerezani miaka 30 ukitoka na huo ugwadu sidhani km utajali km imetumika na mwingine au lah
Kwa namba 4 ntakuletea malimao na pilipili uvumilie maana hakuna namna1.shetani
2,CCM
3.speaker wa bunge
4.asernal
5.maradhi
6.umaskini
7.ujinga
8.kujisikia
9.uchafu
10.kutokuwa na hofu ya mungu.hii ndo ya kwanza
11.bashite
12.waziri wa michezo
13.unafki
14.na mengine mengi
Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
Umetisha mkuu1.CCM
2.CCM
3.CCM
4.CCM
5.CCM
Siipati picha hiyo match itakuwajeMfanyo wake utakuwa sio wa dunia hii.
Maana ugwadu utajaa lita 10
Sent from my Exclusive Y30-U00 using JamiiForums mobile app
I seenaichukia ccm na watu wake wote... kasoro mpenzi wangu tu
Ukilala lala salama kumbatia picha yangu. Hahahaa hata sijui kuimba, hako kapicha kangu sikupagawishe sana bwana.Hako kapicha hapo kwenye avatar yako huwa kananipagawisha my dear!
Hiyo ni picha yako my dear?Ukilala lala salama kumbatia picha yangu. Hahahaa hata sijui kuimba, hako kapicha kangu sikupagawishe sana bwana.
Hapa sio mahala pake nisije mwaga mtama kwenye kuku wengi.Hiyo ni picha yako my dear?
Asantee.mamuuh. [emoji180] [emoji257]
Ingekuwa unasomea kitu unachokipenda lazima ungependa shule.... ila mfumo wetu wa elimu unasababisha mtu ana soma soma tu hata kama kitu hukipendi na wala huna fyucha( future) nacho.1. Shule
2. Shule
3. Shule
4. Shule
5.Shule
nilishafeli ila sikufeli mitihani yangu ya mwisho, sijawahi kuimiss shule