Taja vitu vitano unavyovichukia kuliko vitu vyote

Taja vitu vitano unavyovichukia kuliko vitu vyote

[emoji23] [emoji23] [emoji23] utakuwa ushazeeka, na mie sitoweza kuvumilia miaka 30 bila kupata utamuuu huoni km utakuta nishawahiwa tunda lako linamegwa na wengine
Boga nimeshalipenda, maua hayatanisumbua

KwaNi wakila tunda litapungua ladha au sukari ?

Sent from my Exclusive Y30-U00 using JamiiForums mobile app
 
Hahahhahahahahah

Jesus is my saviour and a friend
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Amina

Sent from my Exclusive Y30-U00 using JamiiForums mobile app
 
Boga nimeshalipenda, maua hayatanisumbua

Kwa wakila tunda litapungua ladha au sukari ?

Sent from my Exclusive Y30-U00 using JamiiForums mobile app
Kwahiyo hivyo, kwanza ukikaa gerezani miaka 30 ukitoka na huo ugwadu sidhani km utajali km imetumika na mwingine au lah
 
Kwahiyo hivyo, kwanza ukikaa gerezani miaka 30 ukitoka na huo ugwadu sidhani km utajali km imetumika na mwingine au lah
Mfanyo wake utakuwa sio wa dunia hii.
Maana ugwadu utajaa lita 10

Sent from my Exclusive Y30-U00 using JamiiForums mobile app
 
1.shetani
2,CCM
3.speaker wa bunge
4.asernal
5.maradhi
6.umaskini
7.ujinga
8.kujisikia
9.uchafu
10.kutokuwa na hofu ya mungu.hii ndo ya kwanza
11.bashite
12.waziri wa michezo
13.unafki
14.na mengine mengi

Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
Kwa namba 4 ntakuletea malimao na pilipili uvumilie maana hakuna namna
 
1. Anayepokonya haki ya watu bila sababu na kujifananisha na Mungu
 
1. Shule
2. Shule
3. Shule
4. Shule
5.Shule

nilishafeli ila sikufeli mitihani yangu ya mwisho, sijawahi kuimiss shule
Ingekuwa unasomea kitu unachokipenda lazima ungependa shule.... ila mfumo wetu wa elimu unasababisha mtu ana soma soma tu hata kama kitu hukipendi na wala huna fyucha( future) nacho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom