1-Nachukia mtu anapoacha kuzitumia akili zake kwa makusudi tu na kujifanya chizi...Absence ya common sense kwenye jamii inanikwaza sana.
2-Nachukia kuona mtu akidhulumiwa haki yake, mtu kutake advantage ya wanyonge.
3-Nachukia sana wanasiasa(mapadri,masheikh,wabunge etc) na police
4-Nachukia uonevu (eg adhabu ya kifo kwasababu tu kuna mtu alikua anaitwa Adamu na mke wake walikua waroho wa matunda)
5-Nachukia na nilishakataa kupelekeshwa pelekeshwa...I live by my own codes.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.