Taja Wachezaji Wa Man Utd Wanaopaswa Kuachwa Kwenye Dirisha Kubwa La Usajili

Mkuu unajua mpira kweli? Hawa ndio WABAKI au WAONDOKE?
 
Mkuu una maana Young,Valencia waondoke halafu Dalot abaki..hauko serous kabisa.
 
Wabaki hawa:-
Da gea
Shaw
Smalling(huyu anakamata sana maforward)
Lindeloef (lazima huyu)
Baily
Young
Valencia(kuwa na wakonge hasa eneo la ulinzi muhimu sana)
Pogba(mchezaji ghali/world cup winner huwezi kumuachia kwa njia yoyote)
Fred(ameimarika sana)
McTominay(huyu lazima)
Matic(sio lazima sana abaki)
Herera
Andres Pereira
Rashford
Lukaku
Mata(ana akili sana, huwa anafananishwa na Silva wa Man City).

Wengine wote uza/toa kwa mkopo.
Lipa gharama yoyote chukua mtu kama Zaha na mwingine mmoja mkali.
Na wengine chukua wale makinda wa academy.
 
Mkuu una maana Young,Valencia waondoke halafu Dalot abaki..hauko serous kabisa.
Valencia ameshaaga kabisa hatuko nae new season... Young tofauti na kurudi winga bora asepe tu, dalot bado ana nafasi ya kucop kwenye timu tofauti na hao wazee
 
Mshaanza kulialia subirin leo mzik wa MAN CITY
 
Daah, unaniangusha mkuu, ina maana na wewe hujui mpira? Mchezaji hapimwi kwa mechi mbili mkuu...
Unajiangusha mwenyewe ungekuwa unajua hilo ungepiga kimya kwanza badala ya kuropa mpaka hiyo idadi yako ya mechi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…