Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
OngezaMdau wa football...
Katika maisha ya soka kuna wachezaji waliocheza timu moja mara 2..
Yaani akauzwa, au mkataba wake ukaisha akaondoka then akarudi tena kwenye klabu yake ya zamani na maisha yakaendelea.
Mimi naanza na hawa ninao'wakumbuka :--
Wayne ROONEY >> Everton
Santiago CARZOLA >> Villareal
Ibrahim AJIBU >> Simba
Paul POGBA >> Man utd.
Twende kazi...