Taja wachezaji wanaoongoza kuchukiwa na timu pinzani

Taja wachezaji wanaoongoza kuchukiwa na timu pinzani

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Mimi naanza na huyu Sergio Ramos, ni miongoni mwa wachezaji wanaochukiwa na timu pinzani kutokana na aina yake ya uchezaji, jihadi bila kusahau kebehi zake.

Karibu kwa mjadala...
IMG_20191213_091006.jpeg
 
Back
Top Bottom