Taja wachezaji wanaoongoza kuchukiwa na timu pinzani

Taja wachezaji wanaoongoza kuchukiwa na timu pinzani

Acha uongo mtakatifu wewe Drogba kaifunga United goli mbili tu kwa muda wote aliochezea MLIPUKO FC nakumbuka goli la ushindi kwenye fainali ya FA na lingine kwenye ligi Kama sijakosea

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo hizo mbili ziliumiza roho yangu mkuu,heshimu utd iliyopoka vikombe vya ligi ya EPL Mara 20,kuliko yeyote pale kwa malkia💉💉💉
 
Acha uongo mtakatifu wewe Drogba kaifunga United goli mbili tu kwa muda wote aliochezea MLIPUKO FC nakumbuka goli la ushindi kwenye fainali ya FA na lingine kwenye ligi Kama sijakosea

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wewe acha uongo[emoji23][emoji23][emoji23] tutumie lugha za staha tu mkuu
Screenshot_20191213-221458_Opera.jpeg
 
Fabinho.. kiungo mchafuaji halafu unajiangusha?! nyambaf kabisa halafu kidogo atuulie yule dogo wetu James

mwingine Robertson mimi ningekuwa uwanjani huyu jamaa ningeshampiga ndoo zamani sana ningekuwa natumikia adhabu ssaivi dogo anjiona mbabe sana
 
Huyu tatizo utoto mwingi sana
huyu jamaa sarakasi zake za nje ya uwanja zimemfanya kuisha mapema sana.. kipaji anacho ila hana consistency kabisa kama siyo adhabu basi ni majeruhi huku wenzake wakiendelea kukimbiza kabumbu...

Nilichogundua ukiwa mtu wa matukio sana nje ya uwanja kiwango chako hakiwezi kufikia hata nusu ya potential yako
1. Neymar
2. Robinho
3. Dembele
4. Bekham
5. Super mario Balotelli
....

ukiwa mtu wa kukaa sana ndani, kusali, na mambo mengine ya kifamilia na kijamii hakika utacheza mpira hadi uzeeni
 
Sadio Mane, Harry Kane, Dele Ali, Wilfred Zaha, Mohammed Salah, Neymar, Richalson, Ashley Young, Eden Hazard.

Wanalala tu hamna wachezaji hapa.
VAR sio ya babako wew, hadi Sadio Mane asipewe Red card.
 
Fabinho.. kiungo mchafuaji halafu unajiangusha?! nyambaf kabisa halafu kidogo atuulie yule dogo wetu James

mwingine Robertson mimi ningekuwa uwanjani huyu jamaa ningeshampiga ndoo zamani sana ningekuwa natumikia adhabu ssaivi dogo anjiona mbabe sana
Una chuki tu na Liver. Kwahyo umekaa ukaona Robertson ni moja ya mchezaji anayechukiwa? [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo bhanaaa alikuaga king Okwi wakati yuko msimbazi upande wa pili wooote walikua wananunaaa
 
Back
Top Bottom