Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #41
Huyu tatizo utoto mwingi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu tatizo utoto mwingi sana
Sadio Mane anajiangusha sana, hasa ile mechi yao dhidi ya Leicester City alinikera kiwango cha kutukuka.
Game za man u na Chelsea alikuwa anaumiza roho vibaya huyu lejendari.
Hizo hizo mbili ziliumiza roho yangu mkuu,heshimu utd iliyopoka vikombe vya ligi ya EPL Mara 20,kuliko yeyote pale kwa malkia💉💉💉Acha uongo mtakatifu wewe Drogba kaifunga United goli mbili tu kwa muda wote aliochezea MLIPUKO FC nakumbuka goli la ushindi kwenye fainali ya FA na lingine kwenye ligi Kama sijakosea
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha 😁 mwajina ngoja nimfuatilie vizuriBila kumsahau Sergio Busquets
Hata wewe acha uongo[emoji23][emoji23][emoji23] tutumie lugha za staha tu mkuuAcha uongo mtakatifu wewe Drogba kaifunga United goli mbili tu kwa muda wote aliochezea MLIPUKO FC nakumbuka goli la ushindi kwenye fainali ya FA na lingine kwenye ligi Kama sijakosea
Sent using Jamii Forums mobile app
jamaa alikua mtukutu sana ata pale man city back in days 2010Fainali ya World Cup 2010 hiyo, Refarii Howard Webb aliishia kutoa kadi ya njano
kiboko huyo.ilifikia wakati furgason kwa kuona aibu akajidai anamkatazaMzee wa ku-dive
Fergusonkiboko huyo.ilifikia wakati furgason kwa kuona aibu akajidai anamkataza
huyu jamaa sarakasi zake za nje ya uwanja zimemfanya kuisha mapema sana.. kipaji anacho ila hana consistency kabisa kama siyo adhabu basi ni majeruhi huku wenzake wakiendelea kukimbiza kabumbu...Huyu tatizo utoto mwingi sana
VAR sio ya babako wew, hadi Sadio Mane asipewe Red card.Sadio Mane, Harry Kane, Dele Ali, Wilfred Zaha, Mohammed Salah, Neymar, Richalson, Ashley Young, Eden Hazard.
Wanalala tu hamna wachezaji hapa.
Una chuki tu na Liver. Kwahyo umekaa ukaona Robertson ni moja ya mchezaji anayechukiwa? [emoji23] [emoji23]Fabinho.. kiungo mchafuaji halafu unajiangusha?! nyambaf kabisa halafu kidogo atuulie yule dogo wetu James
mwingine Robertson mimi ningekuwa uwanjani huyu jamaa ningeshampiga ndoo zamani sana ningekuwa natumikia adhabu ssaivi dogo anjiona mbabe sana