Taja Wanasoka Unaowakumbuka katika Kikosi hiki cha Ajax Fc

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Hii ni Ajax Amsterdam ya msimu wa 1994/95 ambapo walifanikiwa kutwaa taji la Uefa Champions League. Kikosi hiki chini ya Mwalimu Louis Van Gaal, kilijaa chipukizi wengi huku pia kukiwa na wazoefu wachache. Taja walau wachezaji unaowajua hapo...
61754439_2340542742669946_3808544689000164967_n.jpeg
 
Nawaona Van der Sar, Seedolf na Patrick Kluivert.
 
Hii ni Ajax Amsterdam ya msimu wa 1994/95 ambapo walifanikiwa kutwaa taji la Uefa Champions League. Kikosi hiki chini ya Mwalimu Louis Van Gaal, kilijaa chipukizi wengi huku pia kukiwa na wazoefu wachache. Taja walau wachezaji unaowajua hapo...
View attachment 1232203
Van Der Sar,Seadorf,Rijkaard,De Boer, Blind,Overmas,De Boer kuna huyo mbrazil ana mdomo mrefu nimemsahau.
 
Hii ni Ajax Amsterdam ya msimu wa 1994/95 ambapo walifanikiwa kutwaa taji la Uefa Champions League. Kikosi hiki chini ya Mwalimu Louis Van Gaal, kilijaa chipukizi wengi huku pia kukiwa na wazoefu wachache. Taja walau wachezaji unaowajua hapo...
View attachment 1232203
Walio simama katoka kulia Edwin Van de sar,Crelance Sedof, Frank Rijkard,Finid George,Ronald de Boer, Danny Blind.Walio chuchumaa kutokea kulia Jari Litaman,Michael Reiziger,Edgar Davis , Mark Over mass,Frank De Boer.
Iki ilikua kizazi cha dhahabu pale Ajax.Awajamaa kama ingekua inawezekana wacheze sasaivi katika uborawao uleule wa 1996 kwa sasa wangelichukua ubingwa wa klabu bingwa ulaya mbaka wangechoka wenyewe.
 
mkuu unataka kunambia wamgewakalisha hata spain...??
 
Walio simama katoka kulia Edwin Van de sar,Crelance Sedof, Frank Rijkard,Finid George,Ronald de Boer, Danny Blind.Walio chuchumaa kutokea kulia Jari Litaman,Michael Reiziger,Edgar Davis , Mark Over mass,Frank De Boer.
Iki ilikua kizazi cha dhahabu pale Ajax.Awajamaa kama ingekua inawezekana wacheze sasaivi katika uborawao uleule wa 1996 kwa sasa wangelichukua ubingwa wa klabu bingwa ulaya mbaka wangechoka wenyewe.
i mean timu za kweny ligi ya spain...
 
Umemaliza kila kitu mkuu!
 
Hii ni Ajax Amsterdam ya msimu wa 1994/95 ambapo walifanikiwa kutwaa taji la Uefa Champions League. Kikosi hiki chini ya Mwalimu Louis Van Gaal, kilijaa chipukizi wengi huku pia kukiwa na wazoefu wachache. Taja walau wachezaji unaowajua hapo...
View attachment 1232203
Clarence seedorf,frank de boer,kiki musampa,edwin va der sar,michael reizger
 
Hii ni Ajax Amsterdam ya msimu wa 1994/95 ambapo walifanikiwa kutwaa taji la Uefa Champions League. Kikosi hiki chini ya Mwalimu Louis Van Gaal, kilijaa chipukizi wengi huku pia kukiwa na wazoefu wachache. Taja walau wachezaji unaowajua hapo...
View attachment 1232203

1 Frank de boer
2 Mark Overmas jembe hilo
3 Edwin van der sar
4 Patrick Kluivert
5 Edger davids
6 Serdorf

Nwankwo kanu i think alikuwa benchi..amejiunga AJAX 1993-1996...amecheza mechi 54 magoli 25.

Back
Top Bottom