Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Hii ni Ajax Amsterdam ya msimu wa 1994/95 ambapo walifanikiwa kutwaa taji la Uefa Champions League. Kikosi hiki chini ya Mwalimu Louis Van Gaal, kilijaa chipukizi wengi huku pia kukiwa na wazoefu wachache. Taja walau wachezaji unaowajua hapo...