Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Kluivert??Nawaona Van der Sar, Seedolf na Patrick Kluivert.
Overmars, de boers brothers,Hii ni Ajax Amsterdam ya msimu wa 1994/95 ambapo walifanikiwa kutwaa taji la Uefa Champions League. Kikosi hiki chini ya Mwalimu Louis Van Gaal, kilijaa chipukizi wengi huku pia kukiwa na wazoefu wachache. Taja walau wachezaji unaowajua hapo...
View attachment 1232203
Van Der Sar,Seadorf,Rijkaard,De Boer, Blind,Overmas,De Boer kuna huyo mbrazil ana mdomo mrefu nimemsahau.Hii ni Ajax Amsterdam ya msimu wa 1994/95 ambapo walifanikiwa kutwaa taji la Uefa Champions League. Kikosi hiki chini ya Mwalimu Louis Van Gaal, kilijaa chipukizi wengi huku pia kukiwa na wazoefu wachache. Taja walau wachezaji unaowajua hapo...
View attachment 1232203
Walio simama katoka kulia Edwin Van de sar,Crelance Sedof, Frank Rijkard,Finid George,Ronald de Boer, Danny Blind.Walio chuchumaa kutokea kulia Jari Litaman,Michael Reiziger,Edgar Davis , Mark Over mass,Frank De Boer.Hii ni Ajax Amsterdam ya msimu wa 1994/95 ambapo walifanikiwa kutwaa taji la Uefa Champions League. Kikosi hiki chini ya Mwalimu Louis Van Gaal, kilijaa chipukizi wengi huku pia kukiwa na wazoefu wachache. Taja walau wachezaji unaowajua hapo...
View attachment 1232203
mkuu unataka kunambia wamgewakalisha hata spain...??Walio simama katoka kulia Edwin Van de sar,Crelance Sedof, Frank Rijkard,Finid George,Ronald de Boer, Danny Blind.Walio chuchumaa kutokea kulia Jari Litaman,Michael Reiziger,Edgar Davis , Mark Over mass,Frank De Boer.
Iki ilikua kizazi cha dhahabu pale Ajax.Awajamaa kama ingekua inawezekana wacheze sasaivi katika uborawao uleule wa 1996 kwa sasa wangelichukua ubingwa wa klabu bingwa ulaya mbaka wangechoka wenyewe.
i mean timu za kweny ligi ya spain...Walio simama katoka kulia Edwin Van de sar,Crelance Sedof, Frank Rijkard,Finid George,Ronald de Boer, Danny Blind.Walio chuchumaa kutokea kulia Jari Litaman,Michael Reiziger,Edgar Davis , Mark Over mass,Frank De Boer.
Iki ilikua kizazi cha dhahabu pale Ajax.Awajamaa kama ingekua inawezekana wacheze sasaivi katika uborawao uleule wa 1996 kwa sasa wangelichukua ubingwa wa klabu bingwa ulaya mbaka wangechoka wenyewe.
Mpira wa Barca au Spain ni kopi ya Ajax academy.mkuu unataka kunambia wamgewakalisha hata spain...??
Nawaona Van der Sar, Seedolf na Patrick Kluivert.
Jamani mbona Kluivert hayumo pichaniVander sar, seedorf,kluivert,mnigeria(jina limenitoka),de Boer, blind...waliosimama......
Umemaliza kila kitu mkuu!Walio simama katoka kulia Edwin Van de sar,Crelance Sedof, Frank Rijkard,Finid George,Ronald de Boer, Danny Blind.Walio chuchumaa kutokea kulia Jari Litaman,Michael Reiziger,Edgar Davis , Mark Over mass,Frank De Boer.
Iki ilikua kizazi cha dhahabu pale Ajax.Awajamaa kama ingekua inawezekana wacheze sasaivi katika uborawao uleule wa 1996 kwa sasa wangelichukua ubingwa wa klabu bingwa ulaya mbaka wangechoka wenyewe.
Uwe unaruhusu walau matumizi ya akili kwa uchache. Mwenzako kasema wangechukua Klabu Bingwa Ulaya, sasa Spain nayo ni klabu mkuu?mkuu unataka kunambia wamgewakalisha hata spain...??
Kluivert alikuwepo kwenye kikosi ila sikumbuki Sababau ya nyota kama yeye kukosekana kwenye iyo mechi/pichaJamani mbona Kluivert hayumo pichani
Clarence seedorf,frank de boer,kiki musampa,edwin va der sar,michael reizgerHii ni Ajax Amsterdam ya msimu wa 1994/95 ambapo walifanikiwa kutwaa taji la Uefa Champions League. Kikosi hiki chini ya Mwalimu Louis Van Gaal, kilijaa chipukizi wengi huku pia kukiwa na wazoefu wachache. Taja walau wachezaji unaowajua hapo...
View attachment 1232203
Hii ni Ajax Amsterdam ya msimu wa 1994/95 ambapo walifanikiwa kutwaa taji la Uefa Champions League. Kikosi hiki chini ya Mwalimu Louis Van Gaal, kilijaa chipukizi wengi huku pia kukiwa na wazoefu wachache. Taja walau wachezaji unaowajua hapo...
View attachment 1232203