Taja Wanasoka Unaowakumbuka katika Kikosi hiki cha Ajax Fc

Kluivert alikuwepo kwenye kikosi ila sikumbuki Sababau ya nyota kama yeye kukosekana kwenye iyo mechi/picha
Kumbuka hiki ni kikosi kilichocheza Fainali ya Uefa Champions League msimu wa 1994/95 dhidi ya Mabingwa watetezi Ac Milan.

Patrick Kluivert katika mechi hii alianzia benchi, baadae aliingia kama Super Sub na ndiye aliyefunga goli la kichwa dk ya 85 na kuipa Ajax Fc ubingwa wa Ulaya.
 
Mkuu kuweka kumbukumbu sawa ni kwamba goli alifunga kwa mguu na si kwa kichwa, na sababu ya kutoanza ni kwamba alikua bwana mdogo aliyetoka timu ndogo ya Amstedermache Football Club Ajax,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…