Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Namwona hapo Michael Reiziger, Seedorf, Overmas, Ridjkaard
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbuka hiki ni kikosi kilichocheza Fainali ya Uefa Champions League msimu wa 1994/95 dhidi ya Mabingwa watetezi Ac Milan.Kluivert alikuwepo kwenye kikosi ila sikumbuki Sababau ya nyota kama yeye kukosekana kwenye iyo mechi/picha
Mnaija ni Finidi GeorgeVander sar, seedorf,kluivert,mnigeria(jina limenitoka),de Boer, blind...waliosimama......
Mkuu kuweka kumbukumbu sawa ni kwamba goli alifunga kwa mguu na si kwa kichwa, na sababu ya kutoanza ni kwamba alikua bwana mdogo aliyetoka timu ndogo ya Amstedermache Football Club Ajax,Kumbuka hiki ni kikosi kilichocheza Fainali ya Uefa Champions League msimu wa 1994/95 dhidi ya Mabingwa watetezi Ac Milan.
Patrick Kluivert katika mechi hii alianzia benchi, baadae aliingia kama Super Sub na ndiye aliyefunga goli la kichwa dk ya 85 na kuipa Ajax Fc ubingwa wa Ulaya.
Kiungo bora kabisa wa ki NigeriaMnaija ni Finidi George
Handsome boy full back ya kulia Michael ReizegerKuna mwamba hapo
Michael raiziger , flying Dutchman overmas
Dennis beckamp sina hakika Kama alikuwepo
Huyu mwamba alienda Barca ile ya figo,rivaldo,Dani,kluivertHandsome boy full back ya kulia Michael Reizeger
Van Gaal aliwabeba wengi toka Ajax kwenda nao Fc BarcelonaHuyu mwamba alienda Barca ile ya figo,rivaldo,Dani,kluivert
Mwalimu Louis van gaal
Ni kweli mkuuVan Gaal aliwabeba wengi toka Ajax kwenda nao Fc Barcelona