Taja watu 3 wanao kukera na wasio na sifa wala mvuto katika maisha yako

Taja watu 3 wanao kukera na wasio na sifa wala mvuto katika maisha yako

buffaro89

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2016
Posts
592
Reaction score
378
Kama kichwa kilivyojionyesha hapo juu,

Kuna watu unahisi hawana mvuto kwako, pengine ni tabia zao, au staili zao, zinazokupelekea kuwaona kuwa hawafai na hawana mvuto kwako.

Mfano;

1. Malaya

2. Mashoga

3. Wasagaji

Hawa watu kwa upande wangu, nikichefuchefu nachukia tabia zao maana sio maadili ya nchi yetu, sasa yawezekana na wewe unayakwako ungependa kuyaweka hapa.

Karibuni tuamshe dude.
 
Pamoja na hao naongeza wafuatao:
1:wauaji wa Kibiti....Mungu awalaani kabisa
2:dhulumati....wenye kudhulumu hasa mayatima na wajane
3:wafitini/waongo
 
Masharobaro wanyoa vidudu na kuvaa kata K, huwa wananikera watu wa nqmna hiyo sana.
 
Hii maada ina muhusu mtu fulani umenyooka tuu mazima ata mimi namchukia huyohuyo ambae wewe huja mtaja

Sent from my HUAWEI Y625-U32 using JamiiForums mobile app
 
1.faiza foxy
2.mrisho mpoto
3.na lile toto LA malecela lizee lakini kutwa na pensi kuuubwa

Sent from my C6903 using JamiiForums mobile app
 
Daudi Albert bashite ,polopole

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom