nimerogwa au...!!? hahaaata mimi nimejua hvyo bhana nilitaka kushangaa my hearly ananiachaje kwa mfano
hahaaa"" mie mnitaje nyie bhana"" nikjitaja watasema nimejipa promoBro ilipaswa na wee ujiweke hapo
Namuonea huruma sana dadaangu... Basi tu sina jinsi [emoji19] [emoji19] [emoji19]Basi naomba uendelee kunipenda zaidi kesho na keshokutwa... mpk tutakapokutana mbinguni...
Hatimayr
Wow! That's lovely yaani umeniweka on top of the list kabisa. That has melt my soul in awe!
Kumbe na mimi nimo....hahaaa ..kama hawajakutaja wana roho mbaya...unaanzaje kukosekana sasa
..
Ushimen
Mwifwa
Iceman 3D
myoyambendi
ledada
Pyaar
mzigua
Mr Liverpool
Bujibuji
Jolie Jolie
Numbisa
Mama Sabrina
Palantir
Mshana Jr
Sky Eclat
mahondaw
Raynavero
mndali ndanyelakakomu
Smart911
mbalizi
Castr
cephalocaudo
Ambiele Kiviele
Mr Miller
GENTAMYCINE
Humble African
Davet
aaahh wewe Humu ni gwiji "" aiseeKumbe na mimi nimo....
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]hahaa...nadhani na mchumba utaninyima duuuhh..Nina bahati mbaya aisee...
Aisee.aaahh wewe Humu ni gwiji "" aisee
hahaa..ni kweli "" comredAisee.
Kisogo changu siwezi kukiona mwenyewe
Unanidai makange mama ..Asprin.
Huyu Babu ni maarufu kutokana na utani wake pamoja ile hali aliyojiwekea ya kucheka na sie wajukuu zake kila kukicha na pia yale maneno yake hasa mtu anapoingia wenye anga zake. [emoji12] [emoji12]
Hakuna asiyemjua. Babu Shikamoo.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahaaaa. Ndio nashangaa mpaka leo kimya babu. Sipati mwaliko.Unanidai makange mama ..
Hiyo shikamoo ntakujibu wakati unanawa mikono baada ya kushiba...
Ila nadhani unakumbuka deni langu.. .
Hapa najua Bonny Mwifwa na Daby Saint Ivuga Bujibuji watanionea gere balaa
umesahahu umeniblock PM?Hahaaaa. Ndio nashangaa mpaka leo kimya babu. Sipati mwaliko.
Nakumbuka sana tu.
Hahaaaa. Hawawezi Babu sababu kiukweli wewe ni maarufu hata nao najua ni maarufu ila ni wenzangu na mie.