Taja Watu Maarufu Humu JamiiForums

Taja Watu Maarufu Humu JamiiForums

Wow! That's lovely yaani umeniweka on top of the list kabisa. That has melt my soul in awe!

We mwanamke japo hatujuani na hatuna ushkaji but still unanikumbukaga.. But acha nikupende tu best hivyo hivyo. Ungekuwa karibu Leo ningekupeleka candle light dinner upate good time kiaina... Umenikosha sana! Therefore you deserve something good.

I don't take this for granted best.

I love you Dinazarde
 
Asprin.

Huyu Babu ni maarufu kutokana na utani wake pamoja ile hali aliyojiwekea ya kucheka na sie wajukuu zake kila kukicha na pia yale maneno yake hasa mtu anapoingia wenye anga zake. [emoji12] [emoji12]

Hakuna asiyemjua. Babu Shikamoo.

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Wengine maarufu ni wale wenzangu na mie ambao tukisema tuletewe usafiri basi tunaweza jaa na wengine tusipate pa kukaa wala kusimama. Teh teh teh.
 
Asprin.

Huyu Babu ni maarufu kutokana na utani wake pamoja ile hali aliyojiwekea ya kucheka na sie wajukuu zake kila kukicha na pia yale maneno yake hasa mtu anapoingia wenye anga zake. [emoji12] [emoji12]

Hakuna asiyemjua. Babu Shikamoo.

[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Unanidai makange mama ..

Hiyo shikamoo ntakujibu wakati unanawa mikono baada ya kushiba...

Ila nadhani unakumbuka deni langu.. .

Hapa najua Bonny Mwifwa na Daby Saint Ivuga Bujibuji watanionea gere balaa
 
Hahaaaa. Ndio nashangaa mpaka leo kimya babu. Sipati mwaliko.

Nakumbuka sana tu.

Hahaaaa. Hawawezi Babu sababu kiukweli wewe ni maarufu hata nao najua ni maarufu ila ni wenzangu na mie.
 
Hahaaaa. Ndio nashangaa mpaka leo kimya babu. Sipati mwaliko.

Nakumbuka sana tu.

Hahaaaa. Hawawezi Babu sababu kiukweli wewe ni maarufu hata nao najua ni maarufu ila ni wenzangu na mie.
umesahahu umeniblock PM?

Hahahaha basi comment chochote kile nikuzawadie LIKE
 
Back
Top Bottom