Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahaaa. Duuh. Nimecheka sana lol.umesahahu umeniblock PM?
Hahahaha basi comment chochote kile nikuzawadie LIKE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaa. Duuh. Nimecheka sana lol.umesahahu umeniblock PM?
Hahahaha basi comment chochote kile nikuzawadie LIKE
Yani unacheka wakati mi nimenuna? Mapenzi ya wapi haya,Hahaaa. Duuh. Nimecheka sana lol.
Nimekumis wee MWANAMKE jaman...ninalea mimba jaman..mimba changa,mimba ya matwins...ukimuona@undefined mpe salaam!lolSijui nani kamficha. I miss her
Nimekutafuta mbaya na simu haipatikani. Hongeraaaaa, can't wait to hold the twins. Usipotee banaa! Miss you mno yaani.Nimekumis wee MWANAMKE jaman...ninalea mimba jaman..mimba changa,mimba ya matwins...ukimuona@undefined mpe salaam!lol
looh kweli nimeadimika napitwa
Umenikumbusha Mambembe kipindi alivyoandamwa kwamba ni mwanaume na siku hizi simuoni sana humu.
Chelewa chelewa utakuta mwana si wako.looh kweli nimeadimika napitwa
Humjui hata hela, pesa, boti, mkwanja?Hakuna
duuh htr sanChelewa chelewa utakuta mwana si wako.
[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
Nipo nimejaaa tele mwezi huu boss wangu ....Umenikumbusha Mambembe kipindi alivyoandamwa kwamba ni mwanaume na siku hizi simuoni sana humu.
Huyo Mshana namuappreciate sanaThe bold
Rakism
Mshana jr
Bujibuji
Mama sabrina
Gudume
Hajar
Mzugua
N k
Hahaaa. Usinune Babu.Yani unacheka wakati mi nimenuna? Mapenzi ya wapi haya,