Taja watu mashuhuri ambao kwako wewe unadhani hata ukiambiwa wana undugu kwa kufanana kwao hautobisha kabisa

Taja watu mashuhuri ambao kwako wewe unadhani hata ukiambiwa wana undugu kwa kufanana kwao hautobisha kabisa

Inasemekana mama yake na undertaker ali cheat na kumzaa Kane
Hizo ndio habari za kwenye mitandao kama uki Google sehemu nyingi sana zinaleta hizo habari na hata kwnye wiki

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Screenshot_20190315-002006_1552598468198.jpg
Screenshot_20190315-001447_1552598517289.jpg
 
Back
Top Bottom