Taja watu watatu wanaokufanya uendelee kuipenda JF

Hivi unajua maana ya watatu, au umeamua kujiBashite
 
list yangu ninaowakubali ni
Kapuku forum wote wakiongozwa na mama mchungaji blessed hope, Quigley, lee, werrason, Bitoz, obe, mondray, Mussolin, Transcend, shululu, Baily 5
Iceman 3d

Thanks alot
[emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Baba paroko nasema shukrani sana kutambua uwepo wangu, na pia hawa wote uliowataja naomba waje kanisani kupokea upako
 
Oooh my dear unanibariki sana ,asante kwa upendo ubarikiwe sana
 
espy nimefarijika sana kuona hujatajwa hii inamaanisha nakupenda peke yangu

napenda kusoma unachoandika hasa ukiwa upo serious na sipendi kuchangia naona nitakutoa nje ya mada
hata mada zako pia nazikwepaga naona nitaanzisha mada yangu juu yako
Oooh thats my hubby!!
Love you sooo much darling, huwa unanifanya nicheke sana kwa comment zako, akili zako unazijua mwenyewe.
Hivi hujui kama nimekumiss? Plz do the needfull honey.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…