Taja watu watatu wanaokufanya uendelee kuipenda JF

baba paroko [emoji23] j'2 tunaomba location tuje
 
Hahahahh kumtafuta Mungu ni kazi hivyo jamani dear, wewe na shunie nitahitaji muda wa ziada kuwafundisha na kuwapa mafundisho ya kumjua bwana, mje kwenye kwaya kwanza.
Hehehe
Shunie atakuja kwaya, si unajua ana sauti ya kwanza??
 
sio mafundisho kwanza ya neno baba paroko ndio tuanze nayo
 
Hehehe
Shunie atakuja kwaya, si unajua ana sauti ya kwanza??
Nimekuja hapa kwa jambo moja tu...

Moyo wangu umenituma nikuletee salamu... uzipeleke kwa moyo wako...

Yawezekana mimi na wewe tusipendane, lakini moyo wangu umenambia una siri kubwa ya moyo wako...

shikamoo moyo wa Sakayo
 
hahahhah ila huyu baba paroko huyu na wasi wasi nae sana
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] uliniona wapi ambako kunaleta mashaka juu ya utumishi wangu, mwendokasi sipigi, bangi ndiyo kwanza sio rafiki, chuchu saa sita ndiyo wala sipendi, [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Nimekuja hapa kwa jambo moja tu...

Moyo wangu umenituma nikuletee salamu... uzipeleke kwa moyo wako...

Yawezekana mimi na wewe tusipendane, lakini moyo wangu umenambia una siri kubwa ya moyo wako...

shikamoo moyo wa Sakayo
Mmh sakayo nabii umemuona [emoji23]
 
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] uliniona wapi ambako kunaleta mashaka juu ya utumishi wangu, mwendokasi sipigi, bangi ndiyo kwanza sio rafiki, chuchu saa sita ndiyo wala sipendi, [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
baba paroko kule jukwaa pendwa unafanya nn ushaamua kumrudia Mungu kisingizio utasema unakuja fata kondoo waliopotea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…