Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
hahahhahRudi nyuma shetani, kikombe alichonipa baba, sitakinywa???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahhahRudi nyuma shetani, kikombe alichonipa baba, sitakinywa???
LizabonWakuu leo nataka tutaje watu watatu ambao wanaokufanya uendelee kuipenda JF kiasi kwamba usipoingia JF unakuwa unawakumbuka sana
Pia hata ukisikia hizi tetesi za huenda huu mtandao wetu pendwa ukifungiwa utawamiss sana
Tukianza na mimi nawakubali hawa
1)Mo 11
Huyu dogo huwa nacheka sana kila nikiona comment yake
2)Le mutuz
Huyu jamaa huwa pia ananifurahisha sana aisee mpaka najiuliza kama alishawahi kuugua ukichaa enzi za utoto wake maana majibu yake na umri wake aisee ni vitu viwili tofauti
3)Brave one
Huyu dogo naye thread zake zimetulia sana ,ukitaka thread za mastaa basi mtafute huyu jamaa mpaka najiuliza huyu jamaa anapataga wapi habari maana zingine ni nyeti sana yani.
twende wote basiBaba paroko anajua kupanga watu kulingana na sauti zao, hebu nenda kwaya jamani
Uonane na nani??kwaresma hii siingii kabisa kule Babu tutaonana ikiisha
NafwaaaaaaaNimekuja hapa kwa jambo moja tu...
Moyo wangu umenituma nikuletee salamu... uzipeleke kwa moyo wako...
Yawezekana mimi na wewe tusipendane, lakini moyo wangu umenambia una siri kubwa ya moyo wako...
shikamoo moyo wa Sakayo
Hahaaa[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] uliniona wapi ambako kunaleta mashaka juu ya utumishi wangu, mwendokasi sipigi, bangi ndiyo kwanza sio rafiki, chuchu saa sita ndiyo wala sipendi, [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
hahahhah unapakana kabisa basi ikiisha nitaonana na Bonny mana nae huwa hakosiUonane na nani??
Tafadhali usinishirikishe na mapepo wenzako...
Mimi kule ni marufuku, roho mtakatifu alishanikataza.
Ukikaribia kufa unambie nije niuchukue moyo wako... siwezi kukuruhusu uondoke na asali ya moyo wangu...Nafwaaaaaaa
Shkamoo moyo wa babu ake Emmy
Tumsifu Yesu KristoKule jukwaa la wakubwa naambiwa umenunua hisa za kutosha...
Umeamua kabisa kukata tiketi ya motoni???
Hii ni Kwaresma!!
Mwenzangu!!!Mmh sakayo nabii umemuona [emoji23]
Milele amina binti...Tumsifu Yesu Kristo
Teh teh tehRudi nyuma shetani, kikombe alichonipa baba, sitakinywa???
hahahhahhhUkikaribia kufa unambie nije niuchukue moyo wako... siwezi kukuruhusu uondoke na asali ya moyo wangu...
Kabla hujafa usiache kuja nikupake mafuta mgongoni, mafuta ya mpako wa mwisho...Mwenzangu!!!
Nafwaa mie........
Sio kwa unabii huu jamani, kesho msiponiona mjue tayari
Aiseeeebaba paroko kule jukwaa pendwa unafanya nn ushaamua kumrudia Mungu kisingizio utasema unakuja fata kondoo waliopotea
hii kwaresma iendelee mwaka mzimMilele amina binti...
Umesamehewa dhambi zako, endenda na amani, usitende tena dhambi.
Imani yako imekuponya.
hahahh tusipokuona tutamtafuta tuMwenzangu!!!
Nafwaa mie........
Sio kwa unabii huu jamani, kesho msiponiona mjue tayari
CC Honey Faith1, HONEY FAITH
2. HONEY FAITH
3. HONEY FAITH
Hapana jamani, Mungu anakutaka wewe apo. Nenda uje unisimulie ukuu wa Mungutwende wote basi