Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 24,893
- 47,768
Anaimba sana shunie, kwaya watarekodi video kwa hela za sadakaHehehe
Shunie atakuja kwaya, si unajua ana sauti ya kwanza??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaimba sana shunie, kwaya watarekodi video kwa hela za sadakaHehehe
Shunie atakuja kwaya, si unajua ana sauti ya kwanza??
Huko ndiko ananikosha kabisa na na nondo zake huyomzee wa international political mara nyingi utamkuta kwenye international forum.
Hapana baba mchungaji, lazima washuhudie kwanza ndo na mie nijeMrejesho wenzako watarudi mafanikio baki nyuma hivyo hivyo, imani yako itakuponza
Imeandikwa usimjaribu Bwana Mungu wako...Hehehe
Sifa kwa babu au kwa Bwana
kama ya kwa mwamposa nimekanyaga sana mafuta paleTeh teh teh
Nataka yale mafuta ya kukanyaga ndo mazuri
acha kabisa kama sio yyUmeonaeee
Babu kabadilika si mchezo
Apandae huvuna, nami nitapanda mbegu shambani mwa BwanaUsisahau kumjaribu bwana kwa zaka na sadaka... leta sadaka zako ghalani mwangu, hakika utabarikiwa na utauona ukuu wa bwana wako mimi.
Mapambio kuimba na kusifu ndiyo tunaukaribisha uwepo wa bwana halafu neno,sio mafundisho kwanza ya neno baba paroko ndio tuanze nayo
Sasa mambo ya kurekodi yanatoka wapi tenaAnaimba sana shunie, kwaya watarekodi video kwa hela za sadaka
Huu ugunaji ndio niliambiwa na roho mtakatifu niukemee... ugunaji gani huu wa gesti unauleta madhabahuni???
Hapana baba Paroko
nimeolewa baba paroko halaf mbona kipaumbele n sadaka ata kama Maandiko yanasema ukitoa Mungu anazidi kukubariki unanitisha baba parokoKanisa langu halina matairi, halitembei wewe uje ulifuate, njoo upokee upako, kama shunie mpendwa mpaka leo hujaolewa basi baada ya ibada utapata mume, njoo uupokee muujiza location ni ubungo terminal usisahau sadaka
Hehehekama ya kwa mwamposa nimekanyaga sana mafuta pale
Unamkubali babu, unazipenda nguvu zake na unakiri mapenzi yako kwake??Na kazi zake zoteeee
hahahhh kipaumbele sadaka sijawahi ona mmAnaimba sana shunie, kwaya watarekodi video kwa hela za sadaka
hahahhhhh
Jukwaa pendwa, ni lazima nije ili niokote wahumini waliopotea njiababa paroko kule jukwaa pendwa unafanya nn ushaamua kumrudia Mungu kisingizio utasema unakuja fata kondoo waliopotea