Yaani leo ninalo my dear
Umechapia mkuu, anae oa ni baba mchungaji, paroko hawana ndoa.nimeolewa baba paroko halaf mbona kipaumbele n sadaka ata kama Maandiko yanasema ukitoa Mungu anazidi kukubariki unanitisha baba paroko
Usicheke wakati wa maombi. Malaika hawapendi ujinga...hahahhhhh
sawaMapambio kuimba na kusifu ndiyo tunaukaribisha uwepo wa bwana halafu neno,
sadakaSasa mambo ya kurekodi yanatoka wapi tena
HeeeUnamkubali babu, unazipenda nguvu zake na unakiri mapenzi yako kwake??
ugunaji wa gesti tena [emoji134]Huu ugunaji ndio niliambiwa na roho mtakatifu niukemee... ugunaji gani huu wa gesti unauleta madhabahuni???
Tubu dhambi zako, hii ni kwaresma
Mje na sadaka zenu, Mungu atawabariki sana, sakayo na shunie karibuni sanatwende wote basi
Na wewe unafanya nini huku?? Huoni hawa watu wa jukwaa la dhambi watakupotosha???Umechapia mkuu, anae oa ni baba mchungaji, paroko hawana ndoa.
hahahhh ulishawahi endaHehehe
Umeliwa sadaka zako
Ninaomba tangu Kwaresima imeanza, sijaanza leo na pepo la ngono limekimbia speed ya 100/mileNa wewe unafanya nini huku?? Huoni hawa watu wa jukwaa la dhambi watakupotosha???
Njoo mlimani nikufanyie maombi...
Kwahyo Babu ww n nani sasaUnamkubali babu, unazipenda nguvu zake na unakiri mapenzi yako kwake??
umepatikana mama [emoji23]Yaani leo ninalo my dear
nimeolewa mm dear nilikua namjibu baba parokoUmechapia mkuu, anae oa ni baba mchungaji, paroko hawana ndoa.
kule hatujapotea tutarudi wenywe tunajua tunalofanya hutakiwi kuingia kabisa jukeJukwaa pendwa, ni lazima nije ili niokote wahumini waliopotea njia
Babu endelea na kondoo wako sakayo [emoji23]Usicheke wakati wa maombi. Malaika hawapendi ujinga...
HahahhhhHeee
Babu umegeuka tena jamani
mm sadaka sina nahisi nitafukuzwa nikifika mlangoniMje na sadaka zenu, Mungu atawabariki sana, sakayo na shunie karibuni sana